Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,070
- Ukinunua softcopy - Unatumiwa softcopy (ebook) kwa mfumo wa AZW3 (kwa amazon) ambapo utalazimika kusoma kupitia app yao, na hicho kitabu huwa kimefungwa (DRM) hivyo kutoweza kiamisha au print.Mostly nataka hard copies.....
Kwani mkuu ukinunua kwa softcopy wanakutumia kwa PDF ama ndo ile wansita ebook?
Ni jambo zuri, Inakupunguzia ghalama.Na mkuu vp ile ya kununua kitabu kutoka kwenye website ya publisher?
Tofauti hapo ni muda utakaosubiri kupokea mzigo wako.Naona happ wanaonesha STANDARD mail ni free (0£) ila international carrier ni (£5 na 10) unaweeza kunielewesha apo?
Pitia vyema maelezo yaliyopo kwenye hiyo site, na utapata jibu kuwa JE ni free shipping ndani ya nchi husika au ni international?Au kama hivi mkuu hapo kwenye free standard shipping inakuaje apo ina mana nikinunua kwa £94 kwenye iyo website yao then sitakua haja ya kulipia ile dola 27 ya shippin????
So ntalipia £94 plus commision yako????
Sawa mkuu ila unajua kwenye iyo website wameniwekea nchi yangu TZ halafu chini yakePitia vyema maelezo yaliyopo kwenye hiyo site, na utapata jibu kuwa JE ni free shipping ndani ya nchi husika au ni international?
Iwapo ni Free international shipping, hilo swala la shipping cost kwangu halitokuwepo.
So Mkuu unanishauri nichukulie directly kwenye website ya publisher?? Maana pia naoja wanauza bei nzuri kushinda kwenye Amazon....Ni jambo zuri, Inakupunguzia ghalama.
Tofauti hapo ni muda utakaosubiri kupokea mzigo wako.
Free huchukua muda mrefu zaidi.
So Mkuu unanishauri nichukulie directly kwenye website ya publisher?? Maana pia naoja wanauza bei nzuri kushinda kwenye Amazon....
Na je wewe unaeza kuingia kwenye hiyo website na kuniagizia kama unavyofanya kwa amazon na ebay
Kuifikisha DSM itakughlimu TZS 731600Mwl hii bidhaa mpk naipata mkononi itanigharimu bei gani?
LG TV 42" | eBay
Nashukuru sn mwlKuifikisha DSM itakughlimu TZS 731600
NB:
1. Kumbuka waweza daiwa kodi/ VAT - uwe tayari kulipia mzigo ukifika nchini.
2. (Ushauri) Kwa hizi bidhaa zenye uzito mkubwa ni vyema ukanunua hapa nchini- Sababu ghalama ya kusafirishi + kodi/vat = Inazidi bei ya hapa nchini.
[Bragg Organic Unfiltered Apple Cider Vinegar Raw Gluten 16 FL Oz 3 Pack | eBay] is good,have a look at it! Bragg Organic Unfiltered Apple Cider Vinegar Raw Gluten 16 FL Oz 3 Pack | eBayKaribu
Tunza hii link ukiifungua inakuleta kwenye hii threadCode:http://v.ht/buy4me
TZS 125,080[Bragg Organic Unfiltered Apple Cider Vinegar Raw Gluten 16 FL Oz 3 Pack | eBay] is good,have a look at it! Bragg Organic Unfiltered Apple Cider Vinegar Raw Gluten 16 FL Oz 3 Pack | eBay
Nipe gharam zake mkuu
I want to pay for this bag please!
Sure!Noted, Pls check PM
Ni moja au hizo tatu zote?TZS 125,080