Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Duh uzi mzuri sana aiseeh, ngoja niwastue na wenzangu wachangamkie hili dili
 
Kwa hiari yangu , na kwa furaha nilio nayo, kutokana na huduma ilio BORA, Kutoka kwa Mwl.rct na washirika/wasaidizi wake imenijegengea IMANI kubwa, Wamenihudumia Zaidi ya mara nne kuagiza bidhaa toka nje ya nchi,
HONGERA SANA MWL.RCT

- Very good communication

- Very good customer care

- High Integrity

- Trustful
 
TZS 82,845

Seller atatuma kwa "Economy International " huchukua muda mrefu kufika, Huwa ni wiki 3 hadi 5.

Ukiwa tayari kufanya malipo nijulishe.
Asante mwalimu,unaweza kunichekia best offer with fast delivery?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…