Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

hadi inanifikiiia mkononi bei gani
Code:
>>https://www.amazon.com/dp/B00ZPWOA6I/ref=sxts_sxwds-puwylo_rv_1?pf_rd_m=ATVPDKIKX0DER&pf_rd_p=3534076942&pd_rd_wg=9KDN7&pf_rd_r=Y7KNJMPSC8HY097V6K45&pf_rd_s=desktop-sx-top-slot&pf_rd_t=301&pd_rd_i=B00ZPWOA6I&pd_rd_w=zixPC&pf_rd_i=pc+case&pd_rd_r=b2f63fef-18c9-4d3b-80c8-1de2155c77fd&ie=UTF8&qid=1523962805&sr=1<<
 

TZS 334,712
NB: Uzito ndio umefanya ghalama ya kusafirishia kuwa juu.
 
Wakuu naomba kuuliza kuhusu hiki kitabu, kama kipo sokoni? Au hakipo. Kina title " Tanzania the Sleeping Economic Giant in Africa, when will you wake up?"
Ni kitabu kilichoandikwa Marekani. Naomba kujua kama kipo sokoni nakitafuta jamani...au mwenye maelezo kuhusu kitabu hicho anijuze
 
hii bei ya 996,928 ni pamoja na makato yote mi nakuja kwako kuchukua simu au bado kuna gharama zingine zitaongezeka
Kwa upande wangu hakuna ghalama nyingine yeyote utakayolipia.

Mzigo unapoingia nchini mamlaka husika yaweza kudai VAT - Na hii hujulikana baada ya mzigo kufika nchini.

Karibu
 
Kwa upande wangu hakuna ghalama nyingine yeyote utakayolipia.

Mzigo unapoingia nchini mamlaka husika yaweza kudai VAT - Na hii hujulikana baada ya mzigo kufika nchini.

Karibu
kwa uzoefu wako inaweza anzia ngapi kiasi cha juu na chini
 
Ni vigumu kufahamua ghalama kamili utakayolipia

Sababu malipo yatakuwa kwa awamu Tatu.

Awamu ya kwanza ya malipo: Hii inafahamika, bei imewekwa, USD 198 - Ni ghalama ya manunuzi na kuusafirisha mzigo ndani ya USA

Awamu ya pili ya malipo: Ghalama ya usafirishaji Toka USA kuja Tanzania - Ghalama hii inatokana na uzito wa bidhaa, nimepitia link husika, Hakuna walipo andika uzito wa package ya mzigo.

Awamu ya tatu ya malipo: Hii ni ghalama ya KODI/ VAT baada ya mzigo kufika nchini - Mamlaka husika ndio hutupatia ghalama ya kulipia

Hivyo iwapo uko tayari kulipia kwa awamu hizo tatu, Nitakupa hesabu ya awamu ya kwanza ya malipo.

Karibu
 
Asante kwa ufafanuzi.
Nilitaka nifahamu gharama pamoja na usafiri yaani 1 na 2 hapo kwenye maelezo ili nifanye maamuzi.
Ngoja nitafute link ambayo ina uzito wa kifaa chenyewe ili iwe rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…