Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Je zinatakiwa Pairs ngapi?
Kuna size kuanzia 39 - hadi 45, Je ni size zipi unahitaji?
Pia je unahitaji mzigo mkubwa uwekewe LOGO ya kwako?, kama ni ndio inawezekana pia.

NB:
Alibaba - Wholesale
Aliexpress - Retail
mkuu nahitaji pair moja tuu namba 44
 
MWL RCT

Napenda kutoa shukrani kwa kunifanikishia kupata AMAZON FIRE STICK. kutoka USA kwa muda mfupi (siku 9) bila longolongo zozote. Kama unavyoona TV yangu ni 55" 3D hivyo nilikuwa sipendi kubanwa na channel za vinga'amuzi.

Pia CHIEF MKWAWA nakupigia saluti kwa umahiri ktk kazi zako za ufundi mpaka kunielimisha kupata hiki kifaa.

Pamoja sana.
 
Mwl nahitaji tv ya nchi 50 hivi kutoka mbele nipe ghrama zake
Kwa TV ni vyema ukatafuta hapa nchini.

Sababu ni ghalama kubwa kuisafirisha + kodi/vat, ghalama yake yaweza kuzidi bei ya hapa nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…