Samsung J7PRO J730G Dual Sim 3GB 32GB FACTORY UNLOCKED 1year fast free shipping | eBayKaribu, Tumia huduma yangu.
View attachment 762536
Tumia AMAZON , ili tuweze kupta uzito wa item (Shipping weight) na kujua ghalama ya kusafirishia kuja Tanzania, ebay hawajaweka shipping weight.
Amazon product ASIN B01M0RU6LY
Amazon product ASIN B01M0RU6LYView attachment 762536
Tumia AMAZON , ili tuweze kupta uzito wa item (Shipping weight) na kujua ghalama ya kusafirishia kuja Tanzania, ebay hawajaweka shipping weight.
aisee bei juu sana, kumbe kuna gharama ya usafirishaji hapo sikuiona
zinapatikana ngoja nitafute tu hapahapa, shukrani mkuu kwa muda wako!Je hapa nchini hazipatikani hizi simu?
Frame/ofisi si kinga ya kutokutapeliwaukifungua ofisi na kampuni itakuwa poa sana. mambo ya kuaminiana si mazuri kwako na kwamteja.
TZS 1,258,020Hii utafanya kwa ngapi Bro
Amazon product ASIN B07BZLKGG4
nisaidie mawasiliano yako naweza kukutumia kuninunulia spareTZS 1,258,020
Muda: Nani ya siku 10 mzigo utakuwa umefika