Nunua bidhaa yoyote uipendayo online kutoka majuu na uipate bila kulipia kodi

Michosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
662
Reaction score
649
Naomba kufahamishwa wadau,kuwa unaweza kununua bidhaa nje ya nchi (online)mfano: nchi kama,UK,S. Afrika ,japan, china n.k kwa ajili ya matumizi yako na ukatumiwa kama parcel kwa njia ya Western Union au DHL bila kulipia kodi?? Mfano; Laptop,simu,camera,novel na bidhaa ndogo ndogo; naomba kufahamishwa wadau!!
 
Mi sijawahi kusikia western union wakisafirisha mizigo, leo ndo nasikia kwako. Bidhaa yoyote inayostahili kulipiwa ushuru utalipa bila kujali umenunua nchi gani au umesafirisha kwa shirika gani maana customs officers wapo kila mlango wa kutokea na kuingilia nchini.
Ila kuna baadhi ya vifaa kama hiyo laptop uliyotaja hailipiwi import duty (25%) ila inalipiwa vat tu (18%).
 
nashukru mkuu kwa kunikosoa,nilidhani western union nao wanasafisha Parcel.... kwa hiyo km novel na laptop pia zinalipiwa VAT na kwamfano hao DHL wanaweza kuniletea mpaka nilipo??na hiyo import duty inalipwaje na nani kwa hiyo parcel??
 
Kuna baadhi ya bidhaa ni lazimaulipie kodi hata kama ni kidogo na kinacho fanyika mzigo ukifika DHL hulipa kodi badala yako na hukuletea lisit so unapo enda kuchukua mzigo wako ni lazima uwarudishie pesa yao,
 
nashukru mkuu kwa kunikosoa,nilidhani western union nao wanasafisha Parcel.... kwa hiyo km novel na laptop pia zinalipiwa VAT na kwamfano hao DHL wanaweza kuniletea mpaka nilipo??na hiyo import duty inalipwaje na nani kwa hiyo parcel??

nashukuru pia kwa hilo mkuu...nimezi kuelewa zaidi.
 
naongezea hapo DHL wata kupigia simu kukujulisha kuwa kuna mzigo wako na unatakiwa kulipia kiasi fulani cha kodi so wewe uta ruhusu walipe then we we utawarudishia
 
lakini mkuu,,uagizaji wa wa bidhaa kwa aina hii wewe unaonaje kuhusu usalama wa mzingo na fedha.Je, ulisha wahi kufanya shopping ya aina hii au kuna mtu unaemjua alishawai???
Naomba uzoefu tafadhari.Kuna Digital camera moja hivi nimeipenda, nahitaji niagizie so nilihitaji kupata mwanga kwa wenye uzoefu na njia hii ya ungizaji bidhaa kutumia DHL
 
Why ulipie kodi kitu umenunua kwa ajili ya matumizi yako mwenyewe, hizo hela zinazoibiwa na hawa viongozi wa CCM na laptop ulipie kodi, me kila siku natuma vitu kutoka nchi fulani kuja dar na sijawahi kulipa kodi na wala situmii DHL kuna watu kibao wa kusafirisha unampa chake mzigo ukifika dar anapigiwa mtu anaenda kuchukua ofisini basii....DHL sijawahi kuwatumia na sitokuja kuwatumia kamweee...
 
Back
Top Bottom