Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,189
- 6,450
Yaani hili huwa linanishtua sana. Mtu anataka kununua gari anauliza kama spares zinapatikana. Mimi sijawahi kuona gari imetengenezwa haina spares.
Unapotaka kununua gari usiangalie angalie nyuma. Unauliza bei tu unalipa maisha yanaendelea gari zote duniani zina spares. Wewe unayeuliza unywaji wa mafuta.
Kuna gari zinatumia umeme zipo. Kwa sasa options zipo mbili tu.gari za umeme au fuel/gas. Sasa unapohoji matumizi ya mafuta unataka iweje? Mimi nadhani ukitaka kununua gari angalia kama unaipenda.angalia pesa uliyonayo mfukoni kama inatosha nunua gari.
Hakuna gari ya miaka hii ambayo haina spares.suala la mafuta ndo gari imeundwa hivyo itumie mafuta.labda uulizie speed nk