Nunua hili eneo liko hapa mwanza

Lipo eneo la kishiri Lina ukubwa wa heka 5. Njoo ulionee njoo ulininue bei ni nafuu kabisa nipigie 0788752672
 
Kishiri nafikili ipo igoma kule machinjioni
 
Kishiri nafikili ipo igoma kule machinjioni

Kishiri ipo upande wa igoma ukifika igoma stand unaingia upande wa kushoto karibuni sana muweze kujipatia hili eneo
 
Kishiri ni wapi mkuu hebu tupe mwanga kidogo kwa Mwanza?

Haiitwi kishiri inaitwa kishili wasukuma hawana erufi "r" ndiyo sababu hata mimi naitwa mapolomoko badara ya maporomoko.jibu la kishili ilipo iko (kikunde)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…