Habari zenu wana JF
Nauza viti vilivyotumika. vimetumika miez 3. Ni vizuri kwa kukodisha kwenye shughuli kama harusi, mikutano, semina, misiba, nk. Vipo viti 200. Vinapatikana Iringa mjini. Bei kila kiti sh 8000 tu. maelewano yapo. Muundo wake ni kama hiki hapa chini. Karibuni wateja.