Nunua kifaa hiki kuongeza uwezo wako wa kusikia ( Behind the ear hearing aid)

Changamoto2015

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2012
Posts
773
Reaction score
314
Nauza kifaa hiki chenye kusaidia kuongeza uwezo wa kusikia. Hii inatumika zadi kwa watu wenye uwezo hafifu wa kusikia.
Kifaa hiki kidogo ni chepesi sana ukivaapo sikioni, na unakuwa na uwezo wa ku adjust sauti kadiri utakavyo. Hivyo basi kama una ndugu au rafiki yeyote mwenye uwezo hafifu wa kusikia basi suluhisho limepatikana.
kifaa hiki kidogo kinakuja na betri zake mbili ( kama za saa) na kibox kidgo cha kuhifadhia ( hasa kwa wale wasiopenda kufaa kila sehemu). Angalia picha hapo chini:-

20101110_img_007433.jpg20101110_img_007434.jpg20101110_img_007435.jpg20101110_img_007436.jpg

Sehemu nilipo ni Dar es Salaam.

Bei ni TZS 40,000 kwa kimoja. Wahi kabla havijakwisha kwani vimebaki vichache.

Sehemu nilipo ni Dar es Salaam.

E-mail: investa.tz@gmail.com
 
WEKA BEI BWANA.ACHA USHAMBA NA USWAHILI.bei ndo kila kitu hakuna Siri.KATIKA BIASHARA ZA SASA

Kwakweli huwa inanikatisha tamaa mtu anapoweka biashara bila ya bei ni sawa na wali bila mchuzi.Nimepata shauku kubwa na hii kitu nilipoona ili nimjaribu mama yangu kwasababu anamatatizo ya kusikia.Lakini tunaomba muuzaji tuandikie bei ili tuone uwezo tuliokuwa nao.
 
Daktari wangu mmoja alisema ukitaka kuzidi kuyau masikio yako tumia hiki kifaa,kwani misuli huzidi kusinyaa kabisa........sikati promo yako mkuu but,......... viewer discretion is advised
 
Asante mkuu lakini jiulize swali rahisi! Kwanini Muhimbili na KCMC kuna specialists wa masikio, na huwa wana prescribe matumizi ya vifaa hivi kwa wenye matatizo? Na kwanini mpaka leo makampuni huko ulaya bado yanafanya production ya vifaa hivi kwa wingi tu? Kwa bahati nzuri kama unafahamu law of demand and supply utanielewa namaanisha nini.
Hata hivyo kila kitu ukitumiacho leo kina side effects zake, hii inakwenda sambamba na maendeleo ya Technology.

Hapana si bei ya ulanguzi na wala sina sababu ya ku-capitalize kwenye matatizo ya watu. Kifaa kimoja nakiuza kwa TZS 40,000 tu. Tafadhali ni PM kama wahitaji kwa ajili ya ndugu zetu wenye usikivu hafifu.
Anaogopa kuweka bei kwa sababu ni ya ulanguzi!!
 
Hapana si bei ya ulanguzi na wala sina sababu ya ku-capitalize kwenye matatizo ya watu. Kifaa kimoja nakiuza kwa TZS 40,000 tu. Tafadhali ni PM kama wahitaji kwa ajili ya ndugu zetu wenye usikivu hafifu.

Tunakushukuru investa.tz
 
Asante mkuu lakini jiulize swali rahisi! Kwanini Muhimbili na KCMC kuna specialists wa masikio, na huwa wana prescribe matumizi ya vifaa hivi kwa wenye matatizo? Na kwanini mpaka leo makampuni huko ulaya bado yanafanya production ya vifaa hivi kwa wingi tu? Kwa bahati nzuri kama unafahamu law of demand and supply utanielewa namaanisha nini.
Hata hivyo kila kitu ukitumiacho leo kina side effects zake, hii inakwenda sambamba na maendeleo ya Technology.

kumbe tumekubaliana ......side effects!!!!!
 
Je, inamuhitaji mtumiaji kupimwa kwanza na dakitari kablaya kukitumia?
 
Ni muhimu kupata kipimo cha daktari kama inawezekana. Lakini hizi ni kama adjustable headphones, hivyo unaweza kurekebisha kiwango cha sauti kadiri uwezavyo!
Je, inamuhitaji mtumiaji kupimwa kwanza na dakitari kablaya kukitumia?
 
Approximately to zero I can say, sababu kazi ya hiki kifaa ni kukuza sauti ifikie kiwango cha kusikika sawasawa na mtu ambaye yuko normal anavyosikia sauti moja kwa moja kutoka kwa mtu au vitu asili bila kifaa hiki.
Side effect nayoiona hapa ni kwa mtu kuonekana kavaa kifaa hivi, na hivyo watu kugundua kwamba ana tatizo la usikivu hafifu. Lakini siyo jambo la ajabu kwa sababu mbona watu wengine wanavaa miwani. Miguu au mikono bandia na maisha yanakwenda kama kawaida.
kumbe tumekubaliana ......side effects!!!!!
 
Basi duniani viziwi wasingekuwepo!!
 
Basi duniani viziwi wasingekuwepo!!

-Nadhani kuna viziwi ambao hawasikii tokea kuzaliwa kwao na hawawezi kupata msaada wowote wa kusikia ila hufundishwa lugha ya vitendo (sign language)

-Na wapo wale wanaosikia kwa taabu yaani alikuwa anasikia kama kawaida ila matatizo yamemuijia ukubwani mfano wa wazee ambao kutokana na umri.Hata vijana hutokezewa na matatizo haya mimi namjua mtu ambae ni kijana tu na anatumia hivi vitu na miaka ya nyuma hakua hivi yaani alikuwa mtu wakusikia kama kawaida.Kwahio kiswahili chetu ndio hakijajitosheleza kutofautisha baina ya kiziwi na asiesikia vizuri,kwasababu kiziwi hasikii na hata kuongea hawezi vizuri.
 
Nimekupata mkuu!!
 
Shukrani mkuu umeeleza vyema!

nakusifia kwa lugha unayotumia kuelezea biashara yako.
wengena ungekuta ashatokwa na mapovu hapa.

hiki kifaa ni kama miwani tu bila shaka inapotumika kwa macho.
so mtu ambae ni kipofu akivaa miwani hawezi ona!!!
 
Asante kwa wasifu wako ila mimi sio muuzaji ila nimeipenda kumnunulia mama yangu na utuuzima umemfanya hasikii vizuri.Kwahiyo natafuta njia ya kuvipata.
 
Mimi na kihitaji hiki kifaa ila niko kahama nita kipata je....???
 
weka picture na ueleze kinapatikanaje ama toa no zako za cm, fanya jambo kisomi km umeamua kuelimisha na kutoa msaafa kwa wale tunaoitaji tutakipataje hicho kifaa
 
Back
Top Bottom