Habari zenu wanajamvi na watanzania wote.
Kuna magari mengi yamefika bandarini Dar Es Salaam.
Ebu angalia baadhi ya magari yaliyopo bandarini kwa sasa. angalia link hii
ha ha haaaa!!! wabongo tuna akili saana ndo maana hatuaminiani....sasa huyu jamaa alikuwa anadhani watu hawatajua kama ni akaunt mpya facebook....na gari kutoka japani mpaka dar ni siku 9 -10