bundii mnyama
Member
- Sep 15, 2018
- 44
- 18
kam unahitaji machine yoyote tofauti na hiyo naweza kukupeleka moja kwa moja kwa kukutumia link ya bidhaa husika kutoka amazon.
Just tell me
in lazma malipo yapitie credit cards (visa/master card.....) Au PayPal. kiujumla lazma benki itumike.Malipo mnalipaje? Mtu asie na akaunti ya bank anweza fanya malipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
hii sijaiona amazon mkuu.Kuna incubator wanauza pamoja na backup generator yake, yenye uwezo wa mayai 300 wanauza kwa bei gani pamoja na generator yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah zipo,
Thanks to you I was accidentally don't see search condition its true. am sorry.
£350.73 ??Yah zipo, View attachment 988163
hiyo ni mpaka mayai 55.
https://amzn.to/2Rc8bNi
Unaeza kuianglia vizuri Amazon kupitia link