ELIMU PESA
Member
- Jul 22, 2017
- 62
- 36
Njoo hewani tufanye biashara mkuu.Kula 400K cash in boss
Vipo.Ina vibali, kadi je?
Haijapigwa mahali aisee tukaja kuangushiana Jumba bovu?Pikipiki aina ya boxer kama inavyoonekana katika picha inauzwa kwa kiasi cha shilingi laki tano na nusu tu (550,000/=). Pikipiki ni nzima.
Ipo Dar salaam maeneo ya Tabata Magengeni.
Kwa mawasiliano na mazungumzo, tumia namba hizi:
0769074635 AU 0653868062.
ASANTE!
inahitajika hela kwa haraka itatue tatizo fulani.Mbona bei nafuu sana!!?
Utakapoiona, ukaona vibali, ukakutana na muhusika, taratibu za mauziano zikafanyika.... utakuwa assured kuwa mzigo ni salama.Haijapigwa mahali aisee tukaja kuangushiana Jumba bovu?
Fatilia matangazo ya uuzaji wa vitu yanayowekwa kupitia akaunti utagundua yanahusiana na uuzwaji wa vitu kwa bei rahisi, sababu zilikwishaelezwa kitambo. Karibu mkuu.Mi nina wasi wasi na bei
Hii bado ipo mkuu?Pikipiki aina ya boxer kama inavyoonekana katika picha inauzwa kwa kiasi cha shilingi laki tano na nusu tu (550,000/=). Pikipiki ni nzima.
Ipo Dar salaam maeneo ya Tabata Magengeni.
Kwa mawasiliano na mazungumzo, tumia namba hizi:
0769074635 AU 0653868062.
ASANTE!
Ipo mkuu.Hii bado ipo mkuu?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] chombo no C, bei nzuri sanaPikipiki aina ya boxer kama inavyoonekana katika picha inauzwa kwa kiasi cha shilingi laki tano na nusu tu (550,000/=). Pikipiki ni nzima.
Ipo Dar salaam maeneo ya Tabata Magengeni.
Kwa mawasiliano na mazungumzo, tumia namba hizi:
0769074635 AU 0712394385
ASANTE!