bei gani?
Unafungiwa redio then unalipa awamu ya kwanza papo hapo awamu nyingine mbili kwa miezi itakayofuatiameans nafungiwa redio then naanza kulipia au nalipia awamu tatu pesa ikikamilika ndio unakuja kunifungia hiyo redio
Kioo tupu hatuuzi broMe nahitaji touch ya hizo redio, ninayo redio ila kioo cha touch kimepasuka je mnauzaje
Au modds mnasemaje?
180 cash bossChief mchanganuo wa malipo ukwap keaho nataka kuleta Glanza mnifungie mziki huo
Sent using Jamii Forums mobile app