Habari, sabuni za maji zinapatikana kwa bei poa ya sh.7000 tu
Ni nzito sana, nzur kwa matumizi ya usafi kwa ujumla
Kufua nguo
Kuosha magari
Haichubui mikono
Weka oda yako uletewe mpka nyumbani karibuni sana
#loppysoaps
Instagram loppy_products
+255754939399 whatsaap/call/sms
Napatikana kigamboni
Yes kama upo mkoan unatumiwa karibuHata mie wa Kantalamba utaniletea mpaka Nyumbani?
Ujazo lita tano sh 7000 pia ukihitaji kwa lita mojamoja unapata sh 2000ujazo ni lita ngapi?
Haina shida utaipataNtakutafuta Mkuu ili unletee Bunju na naamini hautodai nauli mana wengine wakileta uwa wanakukodolea macho ya huruma
Weka oda upate sabun yakoHaina shida utaipata
Ooh, karibu nikuuzie sabuni yeny manukato mazurKuna mmoja yeye anauza 5000 kwa lita 5 lkn hiyo sabuni ukitumia chooni utatamani arufu iliyokuwepo mwanzoni kabla ya usafi iendelee kuwepo.