Shamba lenye ukubwa Wa hekari 60 lililopo eneo la Mlandizi, Dar es Salaam linauzwa. Shamba lina jumla ya Ngo'mbe 20 mbuzi 120; kondoo 70. Pia lina nyumba 1 na trekta 1 Bei: 600,000,000/=. *Kwa maelezo zaidi wasiliana na Bw. Ibrahim (Security Officer, SGS Security Company, Magomeni Mapipa, Dar) simu namba 0719 264871.
Ziada: Kama unahitaji nembo/logo kwa ajili ya biashara/ kampuni yako au service unayotoa, piga sasa- 0652 999009 au email:
nachoranembo@gmail.com
Mchanganuo kwa bei ya soko
N'gombe 20 (aina gani?) mi nafikiti ni african zibu @ 400,000 = 8,000,000
Mbuzi 120 (aina gani?) @ 80,000 = 9,600,000
Kondoo 70 @ 70,000 = 4,900,000
Trekta moja (aina na umri gani?) @ 20,000,000 = 20,000,000
Nyumba 1 (ukubwa, hali yake, ubora wake??) hii ipo shambani itakua ni store @ 50,000,000 = 50,000,000
Shamba heka 60 kongowe (umbali na barabara kuu?) @ 2,000,000 = 120,000,000
jumla kuu ni TSHS 210, 500, 000! SASA DALALI UNATAKA UPIGE TSHS MILIONI 600,000,000? KWELI TUTAENDELEA KWELI WATZ HIZI? NUNUA MWENYEWE BANA