ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,889
- 3,326
Asante, karibu ujipatie smartwatch yako leo
Tuwasiliane nimuagize jamaa yuko huko DarYeah kila mtu anapata anachostahili
Mbona kama liroboti fulani hvView attachment 3306100View attachment 3306104Et Mbuzi guniani😂Hatufanyi hizo biashara aisee. Sisi mteja analipa baada ya kupokea Mzigo wake
Hapana mkuu 😎Mzee unaifahamu Smartwatch?
Smartwatch ni saa ambayo imeamua "kusoma" zaidi ya muda — siyo tu inakuambia majira, bali pia inajua mambo yako kuliko hata jirani yako! Saa hii ni kama mshkaji mbea mbea: inajua ulishatembea umbali gani, mapigo ya moyo wako yapo vipi, na hata ukikaukiwa inakukumbusha kunywa maji — yaani, ni saa yenye akili kuliko baadhi ya watu! Umeelewa sasa?Hapana mkuu 😎
Unyama 😎Smartwatch ni saa ambayo imeamua "kusoma" zaidi ya muda — siyo tu inakuambia majira, bali pia inajua mambo yako kuliko hata jirani yako! Saa hii ni kama mshkaji mbea mbea: inajua ulishatembea umbali gani, mapigo ya moyo yako yapo vipi, na hata ukikukiw inakukumbusha kunywa maji — yaani, ni saa yenye akili kuliko baadhi ya watu! Umeelewa sasa?
Subiri 😎Ukawe balozi sasa🤣