Nunua Tiketi Moja yaKuwashuhudia Yanga upewe Bakuli Moja la Supu na Chapati mbili

Nunua Tiketi Moja yaKuwashuhudia Yanga upewe Bakuli Moja la Supu na Chapati mbili

Ubaya Ubwela

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2024
Posts
1,353
Reaction score
3,060
Kwako mwana utopolo msimsubili Kununuliwa Tiketi nunueni tiketi mpewe na motisha ya supu


Mchambuzi Nguli nawahamasisha wana utopolo
IMG-20240801-WA0026.jpg
 
Haa Yanga Wamejipa Kazi Ya Mama Ntilie
 
.
 

Attachments

  • IMG-20240801-WA0013.jpg
    IMG-20240801-WA0013.jpg
    26.7 KB · Views: 3
Ukimsachi shabiki wa yanga afirika mfukoni mwake, utamkuta na pilipili,ndimu mixer chumvi ...wenyewe wanakwambia supu hiyoooooo
 
Back
Top Bottom