Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Hiyo ni kafara,Hawa wapuuzi wanapeleka mabakuri Yao huko hawajui wanachokula Kwa macho Yao wanaona Kuwa ni ng'ombe lakini sio ng'ombe.namna hii mtalishwa vibudu wallah
Kama hii ni kweli, basi Yanga ni bonge la timu ila lina mashabiki wa Kifenge sana.Kwako mwana utopolo msimsubili Kununuliwa Tiketi nunueni tiketi mpewe na motisha ya supu
Mchambuzi Nguli nawahamasisha wana utopoloView attachment 3058649
supu ya vyuraKwako mwana utopolo msimsubili Kununuliwa Tiketi nunueni tiketi mpewe na motisha ya supu
Mchambuzi Nguli nawahamasisha wana utopoloView attachment 3058649
Uhalisia uko hivisupu ya vyura