Nunua toka Ebay direct under $66- Nunua camera ya kurekodi bila kujulikana

Boys Ben 10 Costume - Party City

Ben ten costumes toka $17 hadi 35.

hii $25
View attachment 183681


**************

Search Results - Party City

Girls Storybook Prestige Cinderella Costume - Party City

$49.99
View attachment 183683 prestige costume



Search Results - Party City

link hii juu KUANZIA $10 HADI 30 watoto, kuna za adults pia
View attachment 183684 child deluxe costume




INGIA LINK HII KUONA ZAIDI KILA UTAKACHO KANUNUE AU TUMA MTU AKUNUNULIE.

Party Supplies, Halloween Costumes, Birthday Party - Party City
 
MI sijaelewa huu uzi, we mrembo ni marketing officer wa ebay au ni nini hasa umelenga kutuambia
 
Jamani mi naombeni msaada jinsi ya kuagiza na kulipia kwenye mtandao wa ebay mpaka mzigo unakufikia anaejua anijulishe
 
Jamani mi naombeni msaada jinsi ya kuagiza na kulipia kwenye mtandao wa ebay mpaka mzigo unakufikia anaejua anijulishe

Je umeshajiuna nao yaani kufungua account? kama bado fanya hivyo. ukijiunga kuna details zote utakazosoma za kuhusianan na unachotaka kujua. na pia ukitaka nunua kitu vizuri kutumia paypal account www.paypal.com hiyo usaidia kama mzigo haujakufikia au tatizo lolote likitokea kati yako na muuzaji pesa utarudishiwa.

muhimu sana kusoma reviews za wateja walionunua kwa huyo muuzaji. na pia muuzaji atasema ni wapi (nchi) mzigo atakapotuma, muhimu kusoma haya kwa kila unachotaka kununua kabla haujalipa (uwa ipo kwenye details za anachouza utaona tu)

unaweza pia peruzi profile yake ukaona bidhaa alizouza au zaidi anazouza.

natumaini nimejitahidi kukuelewesha as mie nami ni mnunuzi tu.
 
Hii kitu naipataje? na gharama mpaka kinakua changu itakua bei gani?

inategemea na ulipo na ni vizuri kusoma maelezo yao ya delivery kwa website yao.
mie naweka tu ili kusaidia watu kujua yaliyomo na watakayo tafuta zaidi. wengi wa wholesale uwa wananufaika sana na website hizi wakiwasiliana na suppliers.

kwa mfano alie africa anaweza kujisomea link hii

http://www.amazon.com/gp/help/custo...e=UTF8&nodeId=201118310&qid=1410449257&sr=1-1

rates za shipping pia wameweka

ila natumaini viwango zaidi bei upungua

http://www.amazon.com/gp/help/customer/display.html?nodeId=596186
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…