Plot4Sale Nunua viwanja vilivyopimwa Pangani Kibaha Maili Moja

Plot4Sale Nunua viwanja vilivyopimwa Pangani Kibaha Maili Moja

Ochumeraa

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2015
Posts
4,505
Reaction score
5,715
Ni Property Investors Company (PIC) wanauza viwanja eneo la Pangani Mtakuja vyenye sifa: [emoji835] Viwanja vipo karibu na Barabara inayounganisha Kibaha na Vikawe.
[emoji835]Vipo umbali wa km 1.5 toka Barabara ya lami iendayo Vikawe.
[emoji835] Vimeshapimwa tayari kwa hati.
[emoji835] Unaweza lipia cash au kwa awamu.
[emoji835]Site tunaenda kila siku hamna gharama.
[emoji835]Vipo viwanja vya ukubwa mbalimbali na bei Vinaanzia million 5.

[emoji835]Tuna viwanja vingine maeneo ya Misugusugu Kibaha, Vigwaza Kwala, Mbutu Kigamboni, Cheka Kigamboni, Mwongozo, Kisota, Bunju Mji Mpya, Madale Mivumoni.

Dodoma tuna viwanja maeneo ya Iyumbu, Chamwino Ikulu, Mtumba, Nala Ringroad,Nala Chihoni, Chahwa, Kitelela, Mahoma Makulu.

[emoji835]Ofisi zetu kwa Dar zipo nyuma ya Ubungo plaza na kwa Dodoma tupo Capital City Mall.
[emoji835]Call/SMS/WhatsApp: 0686601716
IMG_20221022_104633.jpg
IMG_20221007_070043.jpg
IMG_20221022_104635.jpg
 
Back
Top Bottom