ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 937
Namsikiliza huyu dogo kupitia Star TV, Bongo Beats na Sauda Mwilima: Kama ilivyo kwa wasaniii wetu chipukizi, naona kijana anajigamba kwa mbwembwe kuwa anakaa gheto NHC Ilala Boma, siunajua tenaa, hana mke wala mchumba, hana shughuli yeyote maana, akiamika tu yeye anasikiliza muziki tupu,.... anasema,..kupika aaaaah, kupika sijui, nikiamka namtuma jamaa aniletee misosi ...
Khaaaa....inasikitisha sana vijana wetu katika dunia hii, ...ni fahari gani kijana kujivunia "eti kupika sijui!!...kufua sijui, nakula tu, kusikiliza muziki na kulala!!!!. Yaani hata kuendeleza vipato mnavyovipata kupitia usanii hamuwezi???, nini hatima yenu siku midomo ikiteguka na kupoteza umaarufu jukwaani?..