Nursery school Teaching, Hotel Management, ICT, Clearing and Forwarding Job

Nursery school Teaching, Hotel Management, ICT, Clearing and Forwarding Job

Ukwelinauhakika

Senior Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
156
Reaction score
40
Tunatafuta Tutor wa kufundisha Kozi za ICT mwenye Uzoefu mkubwa sana kufundisha vyuo vya kati,Tunataka mtu ambaye anajua na practical katika kufundisha kozi hizo za ICT.

Pia tunaitaji Tutor wa kufundish kozi za Clearing and Forwarding, Nursery school teaching, Hotel Management mwenye utaalamu wa mda mrefu pia kufundisha vyuoo vya kati.

Sifa
Diploma au Degree za masomo husika na ujuzi wa zaidi, ujue practical zaidi.Eneo la Kazi Dar es salaam

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 4/6/2024
Tuma Vyeti CV na Application Letter kwa adress ifuatayo

Scanned Copy of Documents to info@ladoerr.co.tz
or Box Office
LBS TRAINING SINTITUTE
P O BOX 24540
DAR ES SALAAM
 
Back
Top Bottom