XAMUEL DON KATAR Member Joined Jul 8, 2013 Posts 96 Reaction score 63 Oct 24, 2013 #1 habari za mchana wana jf....!..hivi mtu mwenye degree ya nursing midwifery anaweza kubadili taaluma na kusomea M.D...?..(vigezo vyote vya kuxoma m.d alikuwa navyo kabla ya kuxoma midwifery)...msaada!
habari za mchana wana jf....!..hivi mtu mwenye degree ya nursing midwifery anaweza kubadili taaluma na kusomea M.D...?..(vigezo vyote vya kuxoma m.d alikuwa navyo kabla ya kuxoma midwifery)...msaada!