B beniko Member Joined Dec 26, 2013 Posts 94 Reaction score 9 Apr 27, 2014 #1 Iv form 4 mwenye D bios na E chemistry anaweza kusoma nursing?
K keiya Member Joined Apr 24, 2014 Posts 5 Reaction score 1 Apr 27, 2014 #2 huwezi kwani kwenye tangazo la sasa wamesema d 3
K Kizibo255 JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 515 Reaction score 376 Apr 27, 2014 #3 beniko said: Iv form 4 mwenye D bios na E chemistry anaweza kusoma nursing? Click to expand... Hakunaga ki2 km hicho!
beniko said: Iv form 4 mwenye D bios na E chemistry anaweza kusoma nursing? Click to expand... Hakunaga ki2 km hicho!
K kindondindo JF-Expert Member Joined Jul 8, 2013 Posts 503 Reaction score 149 Apr 27, 2014 #4 nna dogo ana 4 ya 29 kamaliza 2012 kisw c eng D geogD histD Bioc D cvc D mengine f ushauli tafadhali
B biee JF-Expert Member Joined Apr 3, 2013 Posts 332 Reaction score 116 Apr 28, 2014 #5 keiya said: huwezi kwani kwenye tangazo la sasa wamesema d 3 Click to expand... Hizo D 3 ni za somo lolote au inakuaje?
keiya said: huwezi kwani kwenye tangazo la sasa wamesema d 3 Click to expand... Hizo D 3 ni za somo lolote au inakuaje?
Saidy Januzaj Member Joined Apr 13, 2014 Posts 69 Reaction score 10 Apr 28, 2014 #6 kuuliza sio ujinga.hv hyo nursing ukisomea unaweza ukawa unatibu watu au kazi yako itakua kuudumia wagonjwa tu?
kuuliza sio ujinga.hv hyo nursing ukisomea unaweza ukawa unatibu watu au kazi yako itakua kuudumia wagonjwa tu?
Saidy Januzaj Member Joined Apr 13, 2014 Posts 69 Reaction score 10 Apr 28, 2014 #7 na hizo D tatu ni za masomo gani?