Amka uangaze na kushangilia nuru yako imekuja.Unaota au ulilala na chipumu
Nishangilie nini sasa ndio maana nasema umeamka nayo niniAmka uangaze na kushangilia nuru yako imekuja.
Umefunguliwa pingu,Mmeanza sound zenu
Kitakachokutoa gerezani ni njaa,πππ Hamna unabii ambao hatutaona JF mwaka huu. Lakini imeandikwa jihadharini na manabii wa uongo. Tusubiri muda ni jawabu sahihi.
Tanzania hapana Jamani imetosha sasaSalaam!
Ni kweli mlikuwa kifungoni bila hatia, bila uhuru, sasa MWOKOZI ameshakuja, kabomoa gereza, kafungua milango, kawafungua pingu, sasa imebaki kazi kwenu kutoka gerezani,
Ni kweli Giza lilitanda, lakini adui aliamini kwamba Giza ni la kudumu milele, akadhani kuwa hapatakucha, kumbe saa haikusimama, ghafula Nuru imeangaza, bundi ,popo na viumbe vya Giza vinarudi mafichoni Ili njiwa waende kuwatafutia makinda yao chakula kwa Amani.
Tanzania unapendwa sana na Mungu, huna haja ya kuandamana kudai haki yako, maombi yako yametosha kukuokoa na mtesi.
Uko huru mwanangu Tanzania πΉπΏ
Tembea Kifua Mbele Tena,
Aamin π
Beba matawi ya mtende,Bro unamaanisha tubebe voters cards au konyagi?
Kwa CCM hii mkuu?Salaam!
Ni kweli mlikuwa kifungoni bila hatia, bila uhuru, sasa MWOKOZI ameshakuja, kabomoa gereza, kafungua milango, kawafungua pingu, sasa imebaki kazi kwenu kutoka gerezani,
Ni kweli Giza lilitanda, lakini adui aliamini kwamba Giza ni la kudumu milele, akadhani kuwa hapatakucha, kumbe saa haikusimama, ghafula Nuru imeangaza, bundi ,popo na viumbe vya Giza vinarudi mafichoni Ili njiwa waende kuwatafutia makinda yao chakula kwa Amani.
Tanzania unapendwa sana na Mungu, huna haja ya kuandamana kudai haki yako, maombi yako yametosha kukuokoa na mtesi.
Uko huru mwanangu Tanzania πΉπΏ
Tembea Kifua Mbele Tena,
Aamin π
Nyoka aliyeko ndani ya nyumba, ni hatari kuliko nyoka wa kwenye tv!kwa ccm hii mkuu?
Kwani nini tena kimetokea. ???!Salaam!