Nuru imeangaza juu ya nchi, shangilieni!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hamna unabii ambao hatutaona JF mwaka huu. Lakini imeandikwa jihadharini na manabii wa uongo. Tusubiri muda ni jawabu sahihi.
Hasa kwenye hili jukwaa la siasa wakati huu akili zao zimekuwa km watu wa jukwaa la chit chat inasikitisha sana kuona na wazee sasa wamepata muda wa kutuletea mizaha
 
 
Tanzania hapana Jamani imetosha sasa
tunahitaji Tanganyika yetu na sio Tanzania tena
Mungu Aingilie kati na hili
ili kila mtu achukue 50 zake IMETOSHA SASA
Acha kujipa kisukari. Hakuna mtu wa kuvunja Muungano. CCM ina succession plan ya uongozi. Bado sisi maradical tunaoamini katika Nyererelism tuna miaka 30 mbele labda tufe.

Mimi natamani suala la muundo wa Dola yetu usijadiliwe popote futa hadi sera ya CCM kuhusu serikali mbili. Hii dola ni ya Katiba chini ya JWTZ siyo suala la kisiasa tena. Tanzania ilishaundwa Aprili 26,1964.
 
Tanzania hapana Jamani imetosha sasa
tunahitaji Tanganyika yetu na sio Tanzania tena
Mungu Aingilie kati na hili
ili kila mtu achukue 50 zake IMETOSHA SASA
Kweli kabisa,mimi nilipowaona akina salimu mwalumu wanaipeleka CDM mahakamani kwa kesi ya uongo,ndo nikaamini kuwa na kile kisiwa ni mzigo kwa bara huru
 
wapi azimio la ARUSHA,MUSOMA N.K
 
Amen.
Amen
 
Hatari sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…