Nuru imeangaza juu ya nchi, shangilieni!

Nyie watu Jana mlinifanya nikanunua dumu la mbege na gongo ya buku 2 nimemix nikajilipua naamka saiz mambo n yaleyale najuta ten yangu imeenda bure
Ulitakiwa uende hekaluni ukatoe sadaka ya shukrani,

Wewe ukaenda kunywa sumu🤔
 
Kuna watu wa ajabu sana tz ukilinganisha na kny
 
Na wageni watarudisha Mali ya ukoo na kurudi kumallizana na aliyewauzia urithi usio wake.
 
Kuna watu wa ajabu sana tz ukilinganisha na kny
Jiulize kwanini Mwana kondoo ametumika kama ishara ya utakatifu ilhal mbuzi katumika kama ishara ya uharibifu?

Tanzania ni mwana wa Mungu, mnyenyekevu, hutatua changamoto zake kwa maombi SI maandamano.

Sasa Kiko wapi, mbona kimewaka bila hata maandamano?
 
Kila mtu anajaribu kuweka bet kwa kigezo cha uwezo Wa Mungu wake.
Kanji ametulia anachezesha odds zake tu.

Mara 2 kwa 3.
Mara 2 kwa 2
Mara 3 kwa 2.

Yetu Macho.
Ibn Unuq
 
Amen
 
Kila mtu anajaribu kuweka bet kwa kigezo cha uwezo Wa Mungu wake.
Kanji ametulia anachezesha odds zake tu.

Mara 2 kwa 3.
Mara 2 kwa 2
Mara 3 kwa 2.

Yetu Macho.
Ibn Unuq
Betting ndio kamari,

Na kamari ni machukizo mbele za Mungu,

MAISHA ni halisi SI kubahatisha( betting).
 
Mtapiga ramli mpaka 2030
 
Betting ndio kamari,

Na kamari ni machukizo mbele za Mungu,

MAISHA ni halisi SI kubahatisha( betting).
Ndiyo shida ya watumishi.
Ngumu sana kuzielewa code.
Kila kitu wao ni dhambi tu.
 
Ndiyo shida ya watumishi.
Ngumu sana kuzielewa code.
Kila kitu wao ni dhambi tu.
Hujui kwamba wizi wa kura, kujipitisha mwenyewe kugombea Nafasi ya juu bila mchujo ni DHAMBI pia?
 
Tanzania hapana Jamani imetosha sasa
tunahitaji Tanganyika yetu na sio Tanzania tena
Mungu Aingilie kati na hili
ili kila mtu achukue 50 zake IMETOSHA SASA
MAOMBI MAHUSUSI NI *TANZANIA MOJA...(RAIS 1, BUNGE 1, MAHAKAMA 1).
Wewe unamchanganya Mungu sasa. Atatuacha hivyo hivyo tukimchosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…