Kuna kipindi fulani mida ya usiku nimelala, ghafla juu yangu nikaona nuru nyeupee imeniwakia na sauti ikaanza kuongea, huwezi amini ile lugha sikuielewa.
Siku nyingine nimewahi kulala mida saa tano ghafla tena Ile nuru nyeupee ikanijia na sauti Ile ile ikawa inaniongelesha.
Na mara zote natamani ile nuru nyeupe iwepo kila muda, nilihisi raha ambayo isiyokua na kifani, ni best moment ever kwenye maisha yangu.