Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Sio jibu, na Waislamu nuru yao ni ipi? Sisi wapagani nuru yetu ni ipi? Huenda jibu ni utamaduni wako na si vingenevyo.NURU YA ROHONI.
Nuru ya rohoni ni Bwana Yesu.
Nakuomba sana niangazishe;
Ukanitazame kwa huruma tu,
/: Ukanitulize
Mimi maskini.:/
Futa dhambi zangu,
Kwa damu yako.
Hasira ya Mungu iniondoke.
Machubuko yako, hata mateso,
/: Niyawaze vema
Rohoni mwangu.:/
Nakutumaini peke yako tu,
Niwe mtumwa wako
Pote nilipo, utanikubali,
Sina mashaka!
/: Nitakushukuru
Pasipo mwisho.:/
Nuru ya ulimwengu ni Yesu KristoSio jibu, na Waislamu nuru yao ni ipi? Sisi wapagani nuru yetu ni ipi? Huenda jibu ni utamaduni wako na si vingenevyo.
Mkubali mkatae! Kwenda mbinguni hamtatoboa bila Yesu.Sio jibu, na Waislamu nuru yao ni ipi? Sisi wapagani nuru yetu ni ipi? Huenda jibu ni utamaduni wako na si vingenevyo.
Huu ni ukweli mchunguMkubali mkatae! Kwenda mbinguni hamtatoboa bila Yesu.
Kabla ya Yesu nuru ilikuwa nini?Nuru ya ulimwengu ni Yesu Kristo