Nusrat na Twaha: Viongozi wa Bavicha waliokamatwa Singida Wanyimwa dhamana

Nusrat na Twaha: Viongozi wa Bavicha waliokamatwa Singida Wanyimwa dhamana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Leo Julai 10,2020 Mahakama ya Wilaya ya Singida imewanyika dhamana Katibu Mkuu wa Bavicha Mhe. Nusrat Hanje, Mratibu wa Uhamasishaji Mhe. Twaha Mwaipaya na wenzao watano katika kesi ya jinai namba 115/2020.
1594396614080.png
1594396632868.png
 
Halafu mtu anakuambia hii mihimili ipo huru
 
Na yule tapeli wako Shillah anayekulipa ili umpambe humu ananyea dege Morogoro
 
Ipi siku nchi hii itashuhudia mambo ambayo watu hawakuwahi kuyawaza. Sio kwa mwendo huu
 
CCM wanahangaika sana uchaguzi huu!! Utafika hatua Police wetu watasema mbeleko basi ili kuliokoa Taifa kuingia kwenye vurugu wakati wa uchaguzi.
 
Back
Top Bottom