Nusu Fainali: Argentina 3-0 Croatia, FIFA World Cup, 13/12/2022

Nusu Fainali: Argentina 3-0 Croatia, FIFA World Cup, 13/12/2022

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
69' Julian Alvarez anafunga goli la tatu akimalizia kazi nzuri ya Messi

60' Timu zinashambuliana kwa zamu
58' Messi anakosa nafasi nzuri, shuti lake linapanguliwa na kipa
55' Argentina wanaamka na kufanya mashambulizi ya kushtukiza
50' Croatia wanamiliki mpira na kupiga pasi nyingi
Kipindi cha pili kimeanza

Mapumziko

45' Zinaongezwa dakika 4
39' Julian Alvarez anaipatia Argentina bao la pili baada ya kucheza kwa counter attack
37' Croatia wameongeza kasi ya kufanya mashambulizi
34' Messiiiii anaipatia Argentina goli la kwanza kwa penati baada ya mchezaji wa timu yake kuchezewa faulo.
30' Croatia wanaonekana kuwa na uimara wa kuzuia
20' Timu zote zinashambulana kwa zamu
10' Croatia wanaanza mchezo wa kuwaruhusu Argentina wamiliki mpira

Mechi inaanza

=========

Nusu Fainali ya Argentina vs Croatia itakuwa ni ya kwanza katika Michuano ya Mwaka huu.

Mchezo unapigwa usiku huu wa Desemba 13, 2022 na macho ya wengi yapo kwa manahodha wa timu hizo, Lionel Messi wa Argentina na Luca Modric.

Kikosi cha Argentina
Martinez, Tagliafico, Romero, Otamendi, Molina, Paredes, De Paul, Mac Allister, Fernandez, Messi, Alvarez.
 
Hawa Croatia wamewabania tu Brazil! Hii mechi ingefana sana iwapo wangekutana Argentina vs Brazil katika hatua hii ya nusu fainali.
 
Croatia amelala 3 Hadi mda huu inaelekea time zote zinafunguka hawachezi mpira wa kupaki mabasi.
 
Back
Top Bottom