Nusu Fainali Kombe la FA: MAnchester Utd mikononi mwa Tottenham Hotspurs! Chelsea kukiwasha na Southampton

Nusu Fainali Kombe la FA: MAnchester Utd mikononi mwa Tottenham Hotspurs! Chelsea kukiwasha na Southampton

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
index.jpeg

Ratiba ya hatua ya mechi za nusu fainali kombe la FA imetoka usiku ya kuamki leo

Katika ratiba hiyo Manchester United wamepangwa kukutana na Tottenham Hotspur. Chelsea wao wamepangiwa kucheza na Southampton

Mechi hizo zinatarajiwa kuchezwa April 21 na 22, 2018.-Fainali itachezwa Jumamosi ya Mei 19 katika uwanja wa Wembley

Manchester Utd wamefika hatua hiyo baada ya kuitoa Brighton kwa goli 2-0. Tottenham walishinda goli 3-0 dhidi ya Swasea City

Chelsea wameingia hatua hiyo baada ya kuifunga Leicester city 2-1. Huku Southampton walishinda 2-0 dhidi ya Wigan Athletics
 
Mungu ibarik spurs or stock
Wabebe hii kitu
 
Kifupi ni kwamba man u analala bila kombe lolote msimu huu
Hapo ni spurs au chelsea
 
southampton wachukue hili kombe wanastahili
 
Back
Top Bottom