Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,772 Reaction score 22,598 Mar 19, 2018 #1 Ratiba ya hatua ya mechi za nusu fainali kombe la FA imetoka usiku ya kuamki leo Katika ratiba hiyo Manchester United wamepangwa kukutana na Tottenham Hotspur. Chelsea wao wamepangiwa kucheza na Southampton Mechi hizo zinatarajiwa kuchezwa April 21 na 22, 2018.-Fainali itachezwa Jumamosi ya Mei 19 katika uwanja wa Wembley Manchester Utd wamefika hatua hiyo baada ya kuitoa Brighton kwa goli 2-0. Tottenham walishinda goli 3-0 dhidi ya Swasea City Chelsea wameingia hatua hiyo baada ya kuifunga Leicester city 2-1. Huku Southampton walishinda 2-0 dhidi ya Wigan Athletics
Ratiba ya hatua ya mechi za nusu fainali kombe la FA imetoka usiku ya kuamki leo Katika ratiba hiyo Manchester United wamepangwa kukutana na Tottenham Hotspur. Chelsea wao wamepangiwa kucheza na Southampton Mechi hizo zinatarajiwa kuchezwa April 21 na 22, 2018.-Fainali itachezwa Jumamosi ya Mei 19 katika uwanja wa Wembley Manchester Utd wamefika hatua hiyo baada ya kuitoa Brighton kwa goli 2-0. Tottenham walishinda goli 3-0 dhidi ya Swasea City Chelsea wameingia hatua hiyo baada ya kuifunga Leicester city 2-1. Huku Southampton walishinda 2-0 dhidi ya Wigan Athletics
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,956 Reaction score 14,032 Mar 19, 2018 #2 Mungu ibarik spurs or stock Wabebe hii kitu
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Mar 19, 2018 #3 Kifupi ni kwamba man u analala bila kombe lolote msimu huu Hapo ni spurs au chelsea
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,057 Reaction score 39,387 Mar 19, 2018 #4 southampton wachukue hili kombe wanastahili
Davet JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 42,445 Reaction score 205,933 Mar 19, 2018 #5 Kila lakher
Mr muhuni JF-Expert Member Joined May 26, 2014 Posts 1,298 Reaction score 1,266 Mar 19, 2018 #6 Kama id yangu vle
test man JF-Expert Member Joined Aug 13, 2016 Posts 1,014 Reaction score 955 Mar 20, 2018 #7 the blues the first