Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Bado utaiota sana SimbaMwaka wa tabu huu! Tusipokuwa makini, tutaambulia kombe la robo fainali pekee.
mara ya mwisho Simba kumfunga Azam ni liniAzam jiandae
Ambalo uto hawajawahi kufika toka dunia iumbwe kule klabu bingwaMwaka wa tabu huu! Tusipokuwa makini, tutaambulia kombe la robo fainali pekee.
Simba outYanga out
Azam out
Final Simba vs Singida
Ipo wazi kabisa Fainali ni Young Africans Vs AzamSimba out
Singida Big Stars out
Final: Young Africans vs Azam Fc
Young Africans; 2023 ASFC Winners
Wa kumtoa azam ni nani?unadhan azam watakubali ule upuuzi wa refa wa jana?Yanga out
Azam out
Final Simba vs Singida
Tutarudi hapa. Uzuri maandishi yanaishi hayaWa kumtoa azam ni nani?unadhan azam watakubali ule upuuzi wa refa wa jana?