Nusu fainali Sportpesa super cup: Kakamega Homeboyz 4-5 Simba SC, Gor Mahia 2 - 0 Singida

Ulishasikia mfungaji bora kahesabiwa magoli kwa magoli ya penati za mtoano!?..huko kununua mechi hakuna,ndomana mnyama anaenda kwa kuchechemea
Hivi unaanzaje kugonga malaya kwa mbwe mbwe wakati hela nimetoa mimi yaani mie nasimamisha dushe mnara yeye ndio akatike tu suala la mabao atajua yeye

Simba tunaendelea tu
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Duh hii mechi ya Gor Mahia na Singida United hali ya uwanja imefanya iwe ya kubutua kwenda mbele tu hakuna ufundi kabisa
 
DK 90 MEDIE KAGIRE anaipatia Gor Mahia goli la pili
Gor Mahia 2 Singida United 0
Fainal ni Simba na Gor Mahia
Naona Simba inakutana na kocha wao wa zamani Kelly
 
Hii fainali ilitabiriwa kitambo sana kulingana na timu husika zilizoshiriki na jinsi ambavyo zilivyoonekana kukosa uwezo wa kupambana na hawa giants wawili Simba na Gormahia...Simba anakwenda London liwake jua inyeshe mvua!
 
simba kuna mgomo baridi kuna wachezeji wamechukuliwa kwa dau kubwa.hyo hali imewaumiza wengne kisaikolojia
Umeanza kushakia mpira lini? Kuna timu duniani wachezaji wananunuliwa kwa dau sawa wote bila kuzidi wengine?
 
Hujapiga leo Wooozaaaa. Bwihi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Woooooooooooooooozeeeeeeeeeeeerrrrrrrrrrrrrr. [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujapiga leo Wooozaaaa. Bwihi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup 2018 umechezwa leo katika uwanja wa Afraha Nakuru nchini Kenya kwa kuzikutanisha timu za Simba SC na timu ya Kakamega Home Boys.Game haikuwa nyepesi kama baadhi ya watu walivyokuwa wanatazamia, kiasi cha dakika 90 kumalizika ikiwa hakuna timu iliyokuwa imeona nyavu za mwenzake, mikwaju ya penati ndio iliamua mshindi w amchezo huo.


Simba Sports kwa mara ya pili mfululizo wanafanikiwa kuingia hatua inayofuata ya michuano hii kwa ushindi wa penati 5-4, ushindi huo sasa unaifanya Simba kuingia fainali huku wakisubiri mshindi kati ya Singida United na Gor Mahia ili kucheza nae fainali.


Kama Simba SC watafanikiwa kutwaa taji hilo la SportPesa Super Cup watafanikiwa kukata tiketi ya kucheza mchezo wa kirafiki na club ya Everton nchini England katika uwanja wa Godson Park uliyopo jiji la Liverpool.
 
Everton ileeeeeeeeeee. Nawao tunawanyonyoa tu, hata kwa fitina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…