Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Mkuu huu ni busara katika matumizi ya mdomo shukraniTuwe na akiba ya maneno
Naangalia site gan jmn kupitia simu ya mkononi
BadoMan City walichomoa goli au bado?
Naangalia site gan jmn kupitia simu ya mkononi
PSG hawana wachezaji wa kuwafikisha final.Ngoja tusubiri kipindi cha pili sasa
PSG hawana wachezaji wa kuwafikisha final.
Their defence is too leaky
Leo ndio ile mechi pendwa imewadia, PSG vs Man City saa 4 usiku.
Kwa nyota, siku na tarehe ya leo vinaibeba sana PSG.
Hivyo PSG leo ataibuka na ushindi tena sio haba na kuwashangaza wengi.
Kwahyo kama wewe ni mzee wa mkeka tembea na PSG uje unishukuru baadae.
Game moja kuchi inakula gb ngapi?Hesgoal
Namungo naona mechi sita zero goals scored!Namungo na PSG dah!!