BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Wizara ya Afya imetaja sababu nyingine iliyochangia idadi ya vifo vya Wanawake wanaojifungua kwa njia ya upasuaji ni pamoja na Kupoteza Damu wakati au baada ya Upasuaji, Damu Kuganda na Maambukizi ya Bakteria baada ya Upasuaji
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema Wizara ya Afya ilifanya ufuatiliaji wa vifo kuanzia mwaka 2018 hadi 2021 na kubaini Dawa za Ganzi/Nusu Kaputi na Upasuaji wa Kumtoa Mtoto Tumboni vilichangia vifo 58 (3.3%) mwaka 2018, vifo 80 (4.8%) mwaka 2019, vifo 65 (4.0%) mwaka 2020, na vifo 65 (4.1%) mwaka 2021
Amesema Wizara kwa ushirikiano na Wataalamu wameanza kuwajengea uwezo Watumishi wa vituo vya Huduma za Afya kuanzia ngazi ya Zahanati hadi Hospitali za Taifa kwenye eneo la utoaji wa Nusu Kaputi na Upasuaji.