Nusu ya ardhi katika Kaunti ya Mandera nchini Kenya kudhibitiwa na kundi la Al-Shabaab la Somalia

When was the last time you heard of a terror attack in Mandera?..
 
Kuna mamilioni ya wamarekani wanalala barabarani, wengi hawana ajira, malazi na health Insurance.

Umefika marekani? Huku kwetu kila mtu ana ajira na malazi bora? Na hiyo health insurance watz wangapi wanayo? Ni asilimia ngapi ya watz wana afford milo 3 kwa siku?
Hebu tuhangaike kwanza na ya kwetu
 
Kusaidiana kidiplomasia haimaanishi kwamba masuala ya ndani hayafuatiliwi.
We nani kakwambia Tanzania ya kwetu yametushinda?
Viongozi wanafanya kazi yao na kujaribu kadri wawezavyo kutatua shida za wananchi.
Ingelikua kila nchi inaangalia masuala yake binafsi inamaana kitu kinachoitwa diplomasia isingekuwepo.
KAJIFUNZE DIPLOMASIA NI NN KESHA UREJEE HAPA.
 
Umefika marekani? Huku kwetu kila mtu ana ajira na malazi bora? Na hiyo health insurance watz wangapi wanayo? Ni asilimia ngapi ya watz wana afford milo 3 kwa siku?
Hebu tuhangaike kwanza na ya kwetu
Wacha kudandia gari kwa mbele, umeelewa "mukhtadha" ya post yangu au umeisoma tu na kujibu?, Mara nyingi kunakua na mtiririko wa majibizano, usipokua umetiririka nao na kusoma post Moja pekee lazima utaelewa tofauti
 
Kuna Kipindi Nilikuwa nawasiliana na dada wa kikenya akaniambia anaishi Mandera nikamsikitikia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…