Nusuru ndoa yangu

Kuna mtu anamtia kiburi na usikute ndiye aliyemuongezea pesa ya mtaji na mabadiliko ya kimavazi mara kwa mara.
 


Tafuta namna umfilisi ndoa ishavunjika
 
Wanawake wakiwa na hela heshima zao huwa kinyume sasa dawa yake acha kujihusisha na hilo duka mkaushie ipo siku litayumba atarudi kuwa mama wa nyumbani kwa heshima kubwa
 
Ni ukweli ulio wazi. Ila kuna uwezekano pia huyo mwanamke hana hata huyo mtu ila kale katabia ka kike kwamba ana uwezo wa kufanya chochote.
 
Angalia mbele wewe , ulioa mke wa mtu , ukitaka kufa mapema /kupata magonjwa/kurudi nyuma kiuchumi, endelea kung'ang'ania hapo, utaundiwa zengwe na kupigwa nusu kaputi mpaka upotee
 
Tafuta vijana wa kazi wakaibe lila kitu kwenye hilo duka..ndio ushauri wangu.
Tafuta vijana wa kazi wakaibe kila kitu kwenye hilo duka...na usitoe mtaji tena kufungua biashara nyingine.ndio ushauri wangu
 
KAka mwanamke atakusikiliza na kukubali kumuongoza ikiwa tu amekupenda kinyume na hapo utaongea na kukasirika kila siku hakuna atakachokusikiza na hakuna mabadiliko utakayoyaona.
Ndugu mwanamke hapendi ila anafundisha kupenda, kaa na hilo kichwani.
 
Oh jamani, pole sana.
Ningeleta mimi, sema kule vibuyu wamekuwa wengi, haha
Hata sijaamini km nimenusurika, haya maisha kuyaacha ndani ya sekunde ni simple sana.!!
Hapa bado nna wenge aisee.!!
Yule kibuyu alitaka kunitanguliza hivi hivi huku najiona NIMEOGOPA ujue.!!
 
Hata sijaamini km nimenusurika, haya maisha kuyaacha ndani ya sekunde ni simple sana.!!
Hapa bado nna wenge aisee.!!
Yule kibuyu alitaka kunitanguliza hivi hivi huku najiona NIMEOGOPA ujue.!!
Yes, tunatembea na vifo dada yangu. Tunamshukuru Mungu kama bado upo mzima
 
Nenda Kawe Kwa Mwamposa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…