Nusuru ndoa yangu

nawaambiaga watu kila day hapo mwishoni mistari 3, wakishua au waliotoka kwenye stable economic atleast.
 
Ili chama Cha siasa kiimarike kinahitaji wapinzani
 
Fanya kama huoni tafuta mchepuko kaa kwa mchepuko hata week kisha kachek watoto nyumban kisha potea mtaji ukikata then hakuna kuuongezea acha arud kukaa home akitia akili fungua duka kwa siri na yeye ajue ila asikae hapo tafuta namna hata ya kumuweka mdada wa kazi ila kila ukitoka kapitie hesabu ISIZAE NJE HILO NI KOSA KULIKO ALILOLIFANYA SHETANK
 
Inategemea hapo kabla wewe mwenyewe ulikuwaje, kama ulikuwa mume mwema nae atakuwa mke mwema kama ulikuwa mume gubu? kitombile wa kijiji na yeye atakuwa hivyo hivyo hata kama alikufuma mara moja atailipizia mara 10 kama uliwahi kumdunda huo ndo wakati wa kulipa, 😅😅😅
 




Usimchukie wewe ISHI naye vizuri na kwa hekima Sana .

Na unabidi usitumie nguvu yoyote kumuonesha kuwa Una mpango wa kumuacha au kuvunja ndoa


Ili asikuroge
Kukuwekea sum u
Na kukufanyia kitu kibaya jaribu kuwa smart na humble mpe ushindi.

Faida
Ndoa itaendelea kuwepo na mtalea watoto vizuri.

Atafika muda atabadilika na kujua thamani yako.


Mke wako yupo katika phase (awamu) ya kushindwa kutofautisha kati ya PRICE AND VALUE.

Ndoa ni kitu cha thamani Sana kwani ndo hatua ya mwisho ya mahusiano ya mke na mume.

Ila price -gharama Kama nguo , marashi ,simu ,duka n.k ni mambo ya kawaida Sana na hupitwa na wakati according to the time and space.

Angalizo.
Be nice
Be humble
Love each other and don't be trapped by being nasty

Nice guy finish last but with great reward.

Maintain being positive 24/7.
 
Ni rahisi sana tu, mkabidhi Kwa Mungu na atamnyoosha Kwa style inayomfaa. Humu JF utatengenezewa stress. Mungu kakupa mtihani, mrudie, mwambie mtihani huo ni mgumu sana unahitaji majibu Kwa Msaada wake… toa ombi hilo kila siku saa 9 usiku Kwa siku 7 mfululizo bila kuchoka Halafu ulete mrejesho humu ndani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…