Jamani naomba nipate msaada wa kujua tatizo la kuvimba kwa korodani na je, inamadhara gani kwenye ndoa yangu, nahitaji msaada jamani!
Soma na upite tu! Kama huna cha kunishauri please
Pole mkuu! Ninakushauri uende hospitali kwani inabidi daktari aone na kupata maelezo ya kina imevimba kwa muda gani? Ina maumivu? Imeanza lini? Uvimbe unatoweka unapolala? Haya ni baadhi ya maswali. Hivyo nakushauri ukamwone daktari