Nutriance hand & body lotion

Nutriance hand & body lotion

Ms eyes

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2023
Posts
4,757
Reaction score
11,922
Hey Guys! Mmeshindaje?

Nimenunua hii lotion leo, kwenye instructions naona imeandikwa “ smooth on hands and body as often as needed..”

Ina maana haifai kwa matumizi ya uso? Inaleta madhara endapo utatumia usoni?

Nipo hapa kuomba ushauri na maelezo zaidi kwa yoyote ambae ameshawahi kutumia hii lotion.
 
Kwa uso haifai ndio. (Japo unaweza kutumia mara mojamoja sana ila isiwe mazoea).

Hayo maelezo ya lotion inaonesha ipo designed for body, not for facial. Ngozi ya uso ni thinner na iko senditive sana kuliko ngozi ya mwili, hivyo moisturizers za uso zimetengenezwa kwa kuzingatia hilo.

Body lotion kikawaida ni thicker kufiti mahitaji ya ngozi ya mwili (sio uso) hivyo unapoitumia kwenye ngozi ya uso kwa muda mrefu unawezasababisha shida kama ukavuu, wekundu, kubadilika rangi ya ngozi ya uso, acne, irritation nk.
 
Back
Top Bottom