Nuzulack Dausen: Kabla ya kusambaza taarifa, hakikisha inatoka kwenye chanzo sahihi

JamiiCheck

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
245
Reaction score
267
Mkurugenzi mtendaji wa Nukta Africa Nuzulack Dausen anatukumbusha umuhimu wa kuthibitisha Taarifa tunazokutana nazo ndani na nje ya mtandao kwani kutatuwezesha kufanya Maamuzi Sahihi kutokana na Taarifa Sahihi.

Unapokutana na Taarifa unayohitaji kupata msaada wa Uthibitishaji iwasilishe katika jukwaa la JamiiCheck.com ili kupata Uhalisia.


Your browser is not able to display this video.
 
Unapokutana na Taarifa unayohitaji kupata msaada wa Uthibitishaji iwasilishe katika jukwaa la JamiiCheck.com ili kupata Uhalisia.πŸ“ŒπŸ”¨πŸ’ͺπŸΏπŸ‘ŒπŸΏπŸ™πŸΏ
 
Ok, nadhani na wale ugali si/ni chakula cha mifugo hii inawahusu .

Ukipata taarifa fanya kuhakiki kwanza kabla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…