mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
Nwangwine Publishers wameleta Revolution katika fani ya uandishi wa vitabu hasa vua elimu ya sekondari. kusema kweli juhudi zao zinawasaidia sana walimu, wazazi na wanafunzi kupata vitabu mbali mbali vya masomo na vinaendana na mitaala iliyopo. Hima nasi wengine tu take time na fursa iliyopo kuandika vitabu kuendeleza elimu nchini.