Nwangwine Publishers wameleta Revolution katika fani ya uandishi wa vitabu hasa vua elimu ya sekondari. kusema kweli juhudi zao zinawasaidia sana walimu, wazazi na wanafunzi kupata vitabu mbali mbali vya masomo na vinaendana na mitaala iliyopo. Hima nasi wengine tu take time na fursa iliyopo kuandika vitabu kuendeleza elimu nchini.
Wewe hujui vitabu wewe, umetumwa! Toka lini huyo publisher unayemtaja katoa kitabu zaidi ya yale matakataka waliyotumia wanafunzi wa kidato cha nee wakapiga oooooo kibao. Kilaza mkubwa weeeeeeeeeeeee, acha kusifia uharo
Vitabu vipi vya Nyangwine Publisher, unavyovizungumzia? Hivi hivi vinavyo wafanya wanafunzi kuwa wavivu wa kufikiri?
Nwangwine Publishers wameleta Revolution katika fani ya uandishi wa vitabu hasa vua elimu ya sekondari. kusema kweli juhudi zao zinawasaidia sana walimu, wazazi na wanafunzi kupata vitabu mbali mbali vya masomo na vinaendana na mitaala iliyopo. Hima nasi wengine tu take time na fursa iliyopo kuandika vitabu kuendeleza elimu nchini.
mkuu uko very right japokuwa wa2 wanakuponda.. Lkn mm mwenyewe nimetumia vitabu vya nyambari publishers na nimefaulu vizuri tu o - level .. Tatizo wengi wanaoviponda vitabu vya nyambari hawajawahi kuvitumia lakini mimi nimevitumia na, ni vitabu vizuri (speaking from experience..)Nwangwine Publishers wameleta Revolution katika fani ya uandishi wa vitabu hasa vua elimu ya sekondari. kusema kweli juhudi zao zinawasaidia sana walimu, wazazi na wanafunzi kupata vitabu mbali mbali vya masomo na vinaendana na mitaala iliyopo. Hima nasi wengine tu take time na fursa iliyopo kuandika vitabu kuendeleza elimu nchini.