Mia saba
JF-Expert Member
- Mar 4, 2022
- 255
- 390
Vijana tunaozaliwa wakwanza Huwa na Kama baba ukimwacha baba halisi.
Nikaamua kwenda kuzisaka pesa kwa ajili ya kuwatunza wazee wangu na Mimi binafsi.
Hapo ndipo nilipoona hela Ni ngumu mno kuishika. Nimefanya kazi ngumu ngumu za kuchosha sana mwili Ila ujira huna cha kuhifadhi ugonjwa uliponivamia sababu ya kimazingira nikabaki mwenyewe mwili dhaifu pesa sina msaada hakuna ila hali hio ilipitia japo nikikumbuka ni moja ya memory zilizonikomaza hata leo.
Share nasi kisa chako.