Wanaume siku hizi wanaangalia akili, anaoa sura mbaya mwenye akili ili azae vichwa.Dah! Kuna mdada nlikuwa namchukia sana. Malaya yeye, sura mbaya, futuka futuka yeye.
Nikahama Arusha kwa muda, nimerejea after miaka miwili kanipa lift ya GX.R kutoka Same to Arusha.
Yaan nikiwa ndani ya ile gari nlikuwa nataman kujinyonga, nlikuwa naona miti yote ni mifupi.
Tumefika Moshi kampitia mumewe ni handsome sjawai toka na mwanaume wa hivyo .
Najuta kuwatukana akina Mwamposa!
Utakuwa na swaga za inaendelea? Na jamaa wakivita chai utasusa kama Mpwayungu village?Story yangu ni ndefu Sana ntaweka soon.....itakuwa ya kusisimua Sana niliyokutana nayo kwenye machimbo ya tanzanite mererani,uvuvi,mpaka Sasa nipo na maisha mengine kabisa namshkuru mungu amenitoa mbali[emoji120][emoji120][emoji120]story inakuja soon
Mpwayungu dodomaUtakuwa na swaga za inaendelea? Na jamaa wakivita chai utasusa kama Mpwayungu village?