Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 413
Wana-JF najua wikiendi ndio inakaribia ni imani yangu hili nalo lina nafasi yake katika mchakato mzima wa kuitafuna hiyo wikiendi. Ni wazi kila mtu ana utashi na kwa wakati wake anajisikia kupata raha ya mapenzi, lakini kwangu imekuwa tofauti. Mamsampu amenishauri kuwa yeye hujisikia raha sana kama game tukilipiga muda ule wa kawaida wa kwenda kulala. Yaani baada ya kupata dinner, tumeangalia runinga na mengineyo kuanzia saa 4 mpaka 5 usiku kitu ambacho mi kwa mtazamo wangu naona sio ukizingatia watu mnakuwa mmechoka baada ya pilika za kutwa nzima. Nimemshauri game tulichape ile alfajiri kabla hatujaamka kujiandaa kwenda vibaruani. Ukizingatia mnakuwa mmepumzika na ile baridi ya alfajirinakuwa mswano!. Najua kuna watakaouliza kwani siku zote tulikuwa tunafanya wakati gani hilo niachieni mwenyewe!!!:eek2::eek2::eek2::lol: