mbonji monga
Member
- Mar 23, 2020
- 96
- 192
Habari zenu wanajamvi
Kwa wale wenzangu na mimi wazee wa kusakata rhumba usiku kucha hususani weekend mtakuwa na uzoefu kama wangu juu ya usafiri wa hili jiji la Dar. Juzi nlikuwa na wana kwa party Kurasini, Kilwa road mtaa wa Loliondo. Tulikuwa wana kama wote, vile tunamimina maji toka saa 4 usiku mpaka saa 10 alfajiri, sherehe ni kuwa na marafiki.
Vile mbu zinagonga miguu nipo na wana bado tunatiririka maji, simu ikaita manzi anasumbua kila mara anataka nkamsugue papuchi yake Mbezi Beach. Nikaona isiwe nongwa, nikaita BOLT iliyokuwa karibu na mimi zaidi. Kusoma ramani ilikuwa Uhasibu.
MAZUNGUMZO YALIKUWA HIVI;
Mm: Mambo vipi njoo unichukue hapa
Bolt: Shwari, upo wapi?
Mm: Fata ramani
Bolt: Sawa
Kidogo paap!! BOLT imefika. Kumbuka hapo nilikuwa namimina maji na wana. BOLT kufika getini nikawa namsikia jamaa kapaki boda nje ila natia jeuri yani nakunywa tu. Nikawaambia wana “jamaa angejua ninapokwenda(Mbezi Beach) saa 10 hii asingekuja hapa. Ila kwa kuwa kashafika basi hawezi kukataa. Anisubiri nimalizie kunywa maji angu”
Jamaa akawa mpole kidogo ka dakika 5 hivi nikatoka nje. Nkamwambia nipeleke Mbezi Beach. Tukapepea.
My take. Hawa jamaa wa UBER NA BOLT usiku ukiwaambia unaenda wapi wakijua ni mbali kidogo hawaji. Ila wakija mahala ulipo inakuwa afadhali, na ukawaambia unapoenda.
Huwa siwajibu ninapokwenda as long as pesa ipo. Shida ni wao kuzingua kuja sometimes. Tujuzane mbinu mazotumia wapenda UBER & BOLT
ZERO, STOP!